Miradi Yetu

Wizara ya Nishati inapanga kustawisha megawati elfu tano (5,000MW) za nguvu za umeme ifikapo 2030. Chini ya mfumo huu, GDC itastawisha megawati elfu moja (1,000MW) ya umeme wa mvuke kutoka kwa miradi mitatu ya kawi-mvuke. Hapo mapema mnamo 2009/2010 GDC ilichimba visima vya kawi-mvuke kwenye mradi wa Kawi-Mvuke wa Olkaria kutoa mvuke kwa mitambo miwili mipya ya umeme.

GEOTHERMAL POWER

We provide Kenya with cheap, sustainable and enviroment friendly electricity through use of geothermal resources

DIRECT USE

Direct use of geothermal can provide lots of potential to the local economy and help diversify this renewable energy source

CONSULTANCY

We have a very diverse talent pool of geologists, geophysicists and project management ready to offer their wealth of expertise.